Posts

Showing posts from February, 2018

Prayer Language, Speaking in Tongues, how satan stops Christians from re...

Image
SPEAKING IN TONGUE

USHUHUDA WA MBINGUNI NA KUZIMU

Image
Na. Rachael Mushala Disemba 2011, Bwana aliturudisha Kwake mimi na ndugu zangu. Ingawa baba yetu ni mchungaji, sisi wote tulikuwa tumerudi nyuma na kumuacha Bwana. Tulijifanya Wakristo mbele ya wazazi wetu na kanisa, lakini tuliishi maisha ya dhambi shuleni na wakati walipokuwa mbali na nasi. Tulidanganya na kutenda tuliyopenda. Lakini Mungu alifanya muujiza. Dada zangu wawili, kaka na mimi tukatubu na kumgeukia Mungu tena. Tulipojitoa tena kwa Mungu, tuliamua kumtafuta kwa maombi mazito. Tulitaka tuwe na uzoefu wa nguvu zake. Tulihisi kwamba kama tutamtafuta kwa bidii, atatujibu na kusema na sisi pia. Tulitaka sana ubatizo wa Roho Mtakatifu. Siku moja tulipokuwa tukiomba, mdogo wangu, Lois, aliyekuwa na miaka 10 wakati huo, alisema anaona malaika! Uwepo wa Roho Mtakatifu ulijaza chumba na mdogo wangu mwingine Zipporah akaanza kunena kwa lugha! Ilikuwa ajabu lakini mimi nilihisi nimeachwa kwa sababu ingawa tulikuwa tukiomba, kaka yangu na mimi hatukubatizwa na Roho Mt
Image
Dhambi inasababisha kifo cha kiroho na kupelekea mwanadamu kutengana na Mungu kabisa. ACHA KUTENDA DHAMBI NI MACHUKIZO KWA MUNGU Kuendelea kutenda dhambi na kujifariji katika uovu unaoufanya, na kujiona mjanja; ni Ishara ya kwamba hujajua nini kimekuleta Duniani.  Ndio umezaliwa katika hali ya uovu lakini hujazaliwa uishi katika hali Hiyo YA uovu. Tazama NEEMA ya MUNGU ilivyofunuliwa kwa ajili yako... TITO_2:11-12 " 11 Maana NEEMA ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; 12 nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa;" Katika ulimwengu huu tumezaliwa tuishi katika utauwa yaani UTAKATIFU, maisha yasiyo na mawaa Bali yenye ushirika mkuu na MUNGU wetu. MUNGU kwa UPENDO wake mkuu aliamua kumtoa mwanae wa pekee ili kila amwaminiye asipote Bali awe na uzima wa milele (YOHANA 3:16) NA huyu MWANA ndiye aliyekufa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu Sote. WA

How to Hear God Speak to You | 7 Steps

Image

Maombi Kinyaruvu - Umenitendea Mema

Image