Posts

Showing posts from October, 2017

Huniachi (Album Usifadhaike) - by Reuben Kigame and Sifa Voices Featurin...

Minor Prophets: Volume I

Image

THERE IS SOMETHING MORE FOR ME AND YOU TO BE ALIVE UNTIL THIS MOMENT.

Image
# THERE_is_something  more for you and me to be alive. Yaani kuna kitu cha ziada kwa mimi na wewe kuwa wazima mpaka kufikia wakati huu, unaweza kuwa unajiuliza maswali mengi ya kuwa kwa nini upo hivo ulivo au kwanini umezaliwa hivo na kwa nini umezaliwa katika hali hiyo. Usikate tamaa mpendwa upo kwa ajili ya kusudi la MUNGU Mungu huwa hafanyi biashara ya hasara amekutunza mpaka leo kwa makusudi yake. # Cha  muhimu endelea kumwamini. Angalia video hii youtube na usisahau kusubscribe ninaamini utabarikiwa na hutaendelea kujidharau na kujiona hufai. # YOU_ARE__UNIQUE__tafuta__hakuna__anayefanana_na__wewe .

WHO IS JESUS?

Image
WE MUST FIND TO KNOW WHO IS JESUS, WHAT PURPOSE DID HE CAME FOR IN THIS WORLD and WHAT SHOULD WE DO AFTER HEARING THE MESSAGE ABOUT HIM.
Image
SISI TU UZAO WA YESU KRISTO Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake (Isaya 53:10). R oho Mtakatifu , akinena kupitia Nabii Isaya, alitoa unabii kuhusiana na kuja kwake Masihi  kama sadaka kwa ajili ya dhambi na kweli kwamba Ataona “uzao” Wake, ambao utaongeza siku Zake hapa duniani. Uzao waYesu ni Kanisa. Kupitia Kanisa, Bwana Yesu ameongeza siku Zake.Yesu alikuja ulimwenguni humu, akaishi katika ulimwengu huu, akaushinda ulimwengu, akafa, akazikwa, akafufuka, na kupaa juu mbinguni. Lakini maisha Yake yanaendelea leo hii hapa duniani kupitia sisi. Sisi ndio tunaoyaishi maisha yake hapa duniani sasa. Anaendelea  kuishi, kupitia sisi (Kanisa).  Matendo 1:1 inazungumza juu ya “…mambo yote aliyoanza Yesu kufanya na kufundisha.” Ambapo inamaanisha kazi Zake za kim