Posts
Showing posts from October, 2017
THERE IS SOMETHING MORE FOR ME AND YOU TO BE ALIVE UNTIL THIS MOMENT.
- Get link
- X
- Other Apps
# THERE_is_something more for you and me to be alive. Yaani kuna kitu cha ziada kwa mimi na wewe kuwa wazima mpaka kufikia wakati huu, unaweza kuwa unajiuliza maswali mengi ya kuwa kwa nini upo hivo ulivo au kwanini umezaliwa hivo na kwa nini umezaliwa katika hali hiyo. Usikate tamaa mpendwa upo kwa ajili ya kusudi la MUNGU Mungu huwa hafanyi biashara ya hasara amekutunza mpaka leo kwa makusudi yake. # Cha muhimu endelea kumwamini. Angalia video hii youtube na usisahau kusubscribe ninaamini utabarikiwa na hutaendelea kujidharau na kujiona hufai. # YOU_ARE__UNIQUE__tafuta__hakuna__anayefanana_na__wewe .
- Get link
- X
- Other Apps

SISI TU UZAO WA YESU KRISTO Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake (Isaya 53:10). R oho Mtakatifu , akinena kupitia Nabii Isaya, alitoa unabii kuhusiana na kuja kwake Masihi kama sadaka kwa ajili ya dhambi na kweli kwamba Ataona “uzao” Wake, ambao utaongeza siku Zake hapa duniani. Uzao waYesu ni Kanisa. Kupitia Kanisa, Bwana Yesu ameongeza siku Zake.Yesu alikuja ulimwenguni humu, akaishi katika ulimwengu huu, akaushinda ulimwengu, akafa, akazikwa, akafufuka, na kupaa juu mbinguni. Lakini maisha Yake yanaendelea leo hii hapa duniani kupitia sisi. Sisi ndio tunaoyaishi maisha yake hapa duniani sasa. Anaendelea kuishi, kupitia sisi (Kanisa). Matendo 1:1 inazungumza juu ya “…mambo yote aliyoanza Yesu kufanya na kufundisha.” Ambapo inamaanis...