THERE IS SOMETHING MORE FOR ME AND YOU TO BE ALIVE UNTIL THIS MOMENT.











#THERE_is_something more for you and me to be alive.
Yaani kuna kitu cha ziada kwa mimi na wewe kuwa wazima mpaka kufikia wakati huu, unaweza kuwa unajiuliza maswali mengi ya kuwa kwa nini upo hivo ulivo au kwanini umezaliwa hivo na kwa nini umezaliwa katika hali hiyo. Usikate tamaa mpendwa upo kwa ajili ya kusudi la MUNGU Mungu huwa hafanyi biashara ya hasara amekutunza mpaka leo kwa makusudi yake.
#Cha muhimu endelea kumwamini.
Angalia video hii youtube na usisahau kusubscribe ninaamini utabarikiwa na hutaendelea kujidharau na kujiona hufai.
#YOU_ARE__UNIQUE__tafuta__hakuna__anayefanana_na__wewe.

Comments

Popular posts from this blog

USHUHUDA WA MBINGUNI NA KUZIMU